MAJUKUMU YA IDARA YA ELIMU MSINGI
Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu Msingi kwa Halmashauri ikiwa ni pamoja na:
• Kuratibu ufundishaji na ujifunzaji katika Shule zote za msingi za Serikali na binafsi.
• Kuandaa taarifa zote za kielimu Idara ya Elimu msingi za ndani na nje ya Halmashauri.
• Kuratibu shughuli zote za mitihani ya kawaida na kitaifa kwa shule za msingi za Serikali na Binafsi.
• Kuratibu shughuli zote za Michezo ya Shule za Msingi (UMITASHUMTA) ngazi ya Shule hadi Taifa.
• Kusimamia shughuli zote za Elimu ya Watu wazima katika Halmashauri
• Kusimamia shughuli zote za Elimu Maalum katika Halmashauri.
• Kuratibu shughuli za afya na lishe ya Wanafunzi Shuleni.
• Kusimamia Ujenzi wa Miundombinu ya Shule za Serikali.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.