• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

Makarani waongozaji wapigaji kura wa uchaguzi mdogo wapatiwa mafunzo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Posted on: December 13th, 2022

Leo tarehe 13-12-2022 katika ukumbi wa Halmashauri ya mji Handeni zaidi ya makarani 12 wa uchaguzi mdogo wa udiwani wa Kata ya Vibaoni, Halmashauri ya Mji Handeni wamepatiwa mafunzo na maafisa wa Tume ya Taifa ya uchaguzi sambamba na kula kiapo mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama ya Wilaya ya Handeni Mh.Joakim Joram Mwakyolo


Hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya ya Handeni Mh.Joakim Joram Mwakyolo akithibitisha fomu za viapo vya makarani wa uchaguzi mara baada ya kula kiapo.

Akizungumza na Makarani waongozaji hao katika ufunguzi wa mafunzo hayo mara baada ya kula kiapo, Msimamizi Msaidizi Uchaguzi wa jimbo la Handeni Mjini Ndugu. Steven C. Bavu amewaasa Makarani waongozaji wapiga kura hao kuzingatia lugha nzuri, busara na hekima katika muda wote watakaotumika kutoa huduma kwa wapiga kura ili kufanikisha zoezi hilo kwenda vizuri mpaka mwisho.

Makarani wa uchaguzi mdogo wa kata ya Vibaoni wakiendelea kupatiwa mafunzo na maafisa kutoka Tume ya Taifa ya uchaguzi(NEC) katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Handeni

Uchaguzi mdogo wa kata ya Vibaoni unaotarajiwa kufanyika jumamosi tarehe 17-12-2022 unakuja kufuatia aliyekuwa diwani wa kata hiyo Ndugu.Ramadhani Kuyugu (CCM) kujiuzulu nafasi hiyo mara baada ya kupata ajira ya kudumu serikalini na hivyo kiti cha udiwani kata ya vibaoni kuwa wazi.

Nae Afisa kutoka Tume ya Taifa  ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri pamoja na mambo mengine, amewataka makarani hao kuwapa kipaumbele watu wenye makundi maalumu watakaojitokeza kupiga kura kwa kutokukaa kwenye foleni bali wawazingatie na kuhakikisha wanapiga kura haraka na kuendelea na shughuli zao nyingine, akitolea mfano wa makundi hayo maalum ameyataja kuwa ni mama wajawazito, wenye watoto wachanga, watu wenye ulemavu wa viungo, wazee nk

Mgeni rasmi katika mafunzo ya siku moja ya makarani waongozaji wapigaji kura Bi. Margareth Chambiri akifunga mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Handeni


Picha ya pamoja ya makarani waongozaji na Mgeni rasmi mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya siku moja


Abdulkadir Kassim

Handeni Mji

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI UJENZI WA JENGO LA DHARURA (EMD) HOSPITALI YA WILAYA HANDENI February 16, 2023
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • Afisa elimu msingi: Kula shuleni ni lazima

    March 13, 2023
  • Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yafana, Halmashauri ya Mji Handeni

    March 08, 2023
  • Walimu Halmashauri ya Mji Handeni, wapata mafunzo ya mfumo wa FFARS

    March 04, 2023
  • MILIONI 63.6 ZAMWAGWA KWA WAJASIRIAMALI HANDENI MJI. RAIS SAMIA ATAJWA.

    March 03, 2023
  • Angalia zaidi

Video

Mbunge wa jimbo la Handeni Mjini Mh.Reuben Kwagilwa aliamsha Bungeni
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.