Ili kupata huduma ya kupimiwa viwanja au mashamba fuata hatua zifuatazo;-
1.Kuandika barua ya maombi kupitia Serikali ya Mtaa ya eneo husika kwenda kwa Mkurugenzi
2.Wataalam toka Ofisi ya Ardhi ya Halmashauri wataenda kwenye eneo kuchukua vipimo kwa ajili ya kuona kuna nini na kushauri.
3.Taratibu za kuandaa mchoro wa mipango unafuata kwa kupitia kwenye vikao mbalimbali vya kisheria
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.