Ili kupata kibali cha Ujenzi hakikisha unakuwa na vitu vifuatavyo na kuvipeleka kwenye Ofisi za Ardhi zilizopo Halmashauri ya Mji Handeni kwa ajili ya uhakiki;-
1.Kupeleka mchoro wa jengo linalikusudiwa kujengwa kwenye Ofisi za Ardhi Halmashauri ya Mji Handeni
2.Kuwa na risiti ya malipo ya kiwanja husika hakikisha kiwanja hakina deni
3.Hakikisha unakuwa na hatimiliki ya kiwanja husika inayoonyesha matumizi ya kiwanja
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.