• Wasiliana na sisi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Handeni Town Council
Handeni Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Handeni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Teknolojia,Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Nyuki
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • kilimo
    • ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • fedha na uongozi
      • mipango miji na mazingira
      • uchumi afya na elimu
      • ukimwi
      • maadili
    • Ratiba
      • vikao vya waheshimiwa madiwani
      • kuonana na mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Miongozo Mbalimbali
    • fomu mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio

Kupata Kibali cha Kusafiri nje ya Nchi

Kwa sasa maombi ya Vibali vya kusafiri nje ya nchi yanafanyika kwa njia ya mfumo wa Kielektroniki

Hatua za kufuata

A) SAJILIWA KWENYE MFUMO 
Usajili wa kwenye mfumo unafanywa na Afisa TEHAMA wa Halmashauri uliyopo (kama muombaji ni mtumishi wa Halmashauri). Ili usajaliwe yafuatayo yanahitajika: 
1.Majina matatu ya muombaji wa kibali 
2.Namba ya simu ya muombaji wa kibali 
3.Anuani ya barua pepe ya muombaji wa kibali (Inashauriwa kuwa na anuani ya barua pepe ya serikali) 
4.Cheo cha muombaji na Idara anayotoka muombaji wa kibali 
Afisa TEHAMA atakusajili na kukufundisha namna ya kujaza fomu kwenye mtandao.   

B) HUISHA AKAUNTI YAKO KWENYE MFUMO
Baada ya kusajiliwa kwenye mfumo, utapokea ujumbe kwenye barua pepe yako (kupitia anuani uliyosajaliwa nayo hapo awali kwenye hatua ya kwanza) 
Ujumbe utakupa maelekezo ya namna ya kuingia kwenye mfumo na utakutaka kubadili neno la siri/nywila (password), kisha utaweza kuingia kwenye mfumo na kuanza kufanya maombi ya kibali cha kusafiri nje ya nchi. 
MUHIMU: Nywila (password) lazima iwe na sifa neno lenye urefu wa characters nane ambapo ndani yake kuwe na mchanganyiko wa herufi kubwa na ndogo, namba na “special characters - !@$%#” (mfano: Mtanzania123!) 

C). INGIA KWENYE MFUMO 
Ukifanikiwa kuingia kwenye mfumo, unatakiwa kubonyeza/kuingia kwenye aneo la “kibali cha safari”. Ili ukamilishe eneo hili, mahitaji yafuatayo lazima yatimizwe; 
1.Kuwa na hati ya kusafiria (passport) na ujue namba yake (passport number) 
2.Fahamu tarehe ya safari (kumbuka: maombi ya kibali yanatakiwa kufanywa siku 21 au zaidi kabla ya tarehe/siku ya safari. Naombi yatakayofanywa chini ya muda huo hayakubalika kwenye mfumo. Mfano ikiwa zimebaki siku 20 kabla ya tarehe ya safari, maombi yako yatakataliwa na mfumo automatically) 
3.Kama safari inagharamiwa na serikali, fahamu kwa usahihi kiasi cha nauli na posho unayotakiwa kulipwa/kupewa 
4.Utapashwa kutoa melezo juu manufaa ya safari yako kwa taifa (kwa ufupi yasizidi maneno 100) 
5.Kuwa na barua ya mwaliko 
6.Kuwa na barua iliyoidhinishwa na Mkuu wa Idara 
7.Kuwa na barua ya utambulisho kutoka kwa Mkuu wa Taasisi yako (kwa halmashauri barua ni ya Mkurugenzi wa halmashauri) 
NOTE: 
1: Kama safari ni binafsi kwa matembezi/mapumziko, lazima uwe na barua ya likizo 
2: Kama safari ni matibabu ni lazima uwe na vielelezo vinaelezea Ushauri wa Kitabibu na Rufaa ya Matibabu 
3: Kama safari ya ni mafunzo ya muda mrefu ni lazima uwe na; 
Barua ya Udahili 
Barua ya Udhamini wa Masomo 
Barua ya Mwaliko 
MUHIMU: 
Nyaraka zote hizi ziwe zimefanyiwa scanning kwenye format ya PDF 

D). KUJAZA FOMU 
Mfumo unakuelekeza namna ya kukamilisha kujaza fomu mpaka mwisho. Ukiwa na nyaraka (documents) zilizoanishwa hapo mwanzo, zoezi la kujaza fomu linakuwa fupi. (Melekezo ya jinsi ya kujaza fomu yanatolewa na Afisa TEHAMA aliyekusajili kwenye mfumo) 
KUMBUKA: zoezi la kujaza fomu linafanyika kuanzia hatua ya mwanzo hadi ya mwisho kwa wakati mmoja. Maana yake ni kwamba ili uanze kujaza fomu ni lazima uwe na nyaraka zilizotajwa hapo mwanzo. 
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu, utawasilisha fomu yako kwa njia hii ya mtandao kwa kubonyeza neno WASILISHA. 
Maombi yako yatakuwa yametumwa kwenye mamlaka husika na kufanyiwa kazi (kwa ngazi ya Halmashauri maombi yanatumwa TAMISEMI). 

E).MAJIBU YA MAOMBI YA KIBALI 
1 Majibu ya maombi ya kibali chako utayapata kwa njia mtandao kama ulivyofanya katika kutuma maombi ya kibali. 

2 Pia unaweza Unaweza kufuatilia maombi kwa njia ya simu, Andika neno KIBALI acha nafasi ikifuatiwa na Namba ya kumbukumbu (Mfn: KIBALI V12345678) halafu tuma kwenda 15200. Ujumbe mmoja utakugharimu Tsh. 100 tu! 

Kupata kibali cha kusafiri Nje ya Nchi tafadhali sajiliwa na ingia katika mfumo huu, Bofya hapa kupata mfumo huo 

 

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI 2 October 03, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI 1 September 27, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MITAA September 16, 2024
  • Angalia zaidi

Habari Mpya

  • HOSPITALI YA HALMASHAURI YA MJI HANDENI IMETOA ELIMU YA KUJINGA KWA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA KWA WAFANYAKAZI WA BOMBA LA MAFUTA WILAYA YA HANDENI EACOP

    March 21, 2025
  • BARAZA MAALUMU LA MADIWANI LAPENDEKEZA KUONGEZEWA MAENEO YA UTAWALA

    March 14, 2025
  • MKUTANO MKUU WA 39 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT)

    March 11, 2025
  • ZIARA YA MHE. RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    February 25, 2025
  • Angalia zaidi

Video

Mbunge wa jimbo la Handeni Mjini Mh.Reuben Kwagilwa aliamsha Bungeni
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Kumuona Mkurugenzi
  • Kupata kibali cha Matangazo
  • Muundo wa Tasisi
  • Kumuona Mwenyekiti wa Halmashauri

Viunganishi Linganifu

  • Sekretariti ya Ajira
  • Ofisi ya Rais - Ikulu
  • FFARS-LIVE
  • PLANREP- BAJETI 2020/21
  • TAMISEMI
  • Utumishi

Watembeleaji wa Dunia

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea tovuti

free HitCounter

Ramani

Wasiliana na sisi

    Barabara ya Korogwe - Handeni

    Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI

    Simu ya Mezani: 027-2641807

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: td@handenitc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.