naweza kuonana na Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Handeni kwa kupitia hatua zifuatazo:
1. Kuomba miadi kwa njia ya Simu au Barua.
2. Wenye shida mbalimbali wanaweza kufika Ofisi ya Mwenyekiti na kuwasilisha shida zao na kupewa huduma wanayoihitaji.
Mwenyekiti wa Halmashauri ana siku mbili (2) za kumuona kwa mujibu wa raitba yake;
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.