1.Kujaza fomu ya maombi ya uhamisho kutoka Shule aliyopo .
2.Fomu ya maombi kupelekwa kwa Afisa Elimu Kata kwa ajili ya kuipitisha.
3.Fomu kupelekwa kwa Afisa Elimu wa Halmashauri.
4.Baada ya hatua za hapo juu kufuatwa Mwanafunzi atahamishwa kupitia Mfumo na wahusika.
Barabara ya Korogwe - Handeni
Anuani ya Posta: S.L.P 51 HANDENI
Simu ya Mezani: 027-2641807
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: td@handenitc.go.tz
Copyright ©2022 GWF . All rights reserved.